Mfumo wazi, michango ya wazi, matokeo ya wazi.
Tengeneza akaunti yako kwa dakika moja kwa barua pepe na namba ya simu.
Kiongozi anaunda kikundi na kuwaunganisha wana kikundi wengine. Kikundi kinaweza kuwa na idadi yoyote ya wana kikundi.
Kiongozi anaweka rekodi za michango na kila mwanachama anachanga kiasi mlichokubaliana kufikia mchango wa kila wiki. Mfumo unaonyesha hali ya kikundi kila wakati.
Mkifikisha TSh milioni 12, mnamiliki bajaji. Mnaweza kuweka malengo mengine na kuanza kuchanga tena kununua bajaji nyingine.
Mfumo unarekodi michango. Kikundi chako kinakubaliana namna ya kuhifadhi pesa (benki, M-Pesa, n.k.).
Yeyote anayeunda kikundi anakuwa kiongozi. Anaweza kuthibitisha michango.
Hapana. Familia, marafiki au kikundi chochote kinaweza kuanzisha mfuko.
Ni jukumu la kiongozi na wanachama kujisimamia na kuhakikisha wanachanga kutokana na malengo waliyojieke kwenye akaunti ya bank au simu kama walivyokubaliana.