Pamoja tunafikia ndoto

Unaweza kumiliki bajaji ndani ya wiki chache tu bila mkopo wala riba?

Ndio, BajajiCap inawaunganisha watu wachache wenye kikundi na lengo moja ili kwa pamoja wachange kidogo kidogo kila wiki na kuweza kununua bajaji yao bila mkopo wala riba.

Hatua Tatu Tu

Rahisi, wazi, na salama kwa kila mwanachama.

1. Unda Kikundi

Jisajili na unda kikundi. Wasajili wana kikundi wenzako na anza kueka rekodi za michango ya kikundi chenu.

2. Chagua Mpango

Wiki 3, 6, 12, 24 au 48. Kila mwanachama anajua kiasi cha kuchanga kila wiki.

3. Pata Bajaji

Mkifika TSh milioni 12, mnamiliki bajaji yenu. Rudia kwa bajaji nyingine.

Mipango ya Michango

Lengo: TSh 12,000,000 kwa bajaji moja.

Kasi ya Umeme
Wiki 3 (Mwezi 1)
TSh 4,000,000
kwa wiki

Wiki 3 (Mwezi 1) — kwa wenye uwezo mkubwa sana

Haraka Sana
Wiki 6 (Miezi 2)
TSh 2,000,000
kwa wiki

Wiki 6 (Miezi 2) — kwa wenye uwezo mkubwa

Haraka
Wiki 12 (Miezi 3)
TSh 1,000,000
kwa wiki

Wiki 12 (Miezi 3) — michango mikubwa

Wastani
Wiki 24 (Miezi 6)
TSh 500,000
kwa wiki

Wiki 24 (Miezi 6) — uwiano mzuri

Polepole
Wiki 48 (Miezi 12)
TSh 250,000
kwa wiki

Wiki 48 (Miezi 12) — michango midogo

BajajiCap ni kwa ajili ya nani?

BajajiCap ni kwa kila mtu anayetaka kumiliki bajaji bila mzigo wa mkopo.

  • Madereva wa bajaji wanaotaka kumiliki bajaji yao
  • Familia inayotaka kuwekeza pamoja
  • Marafiki na ndugu wenye lengo moja
  • Vikundi vya akiba (vikoba, saccos)

Ufuatiliaji wa Wazi

Kila mchango unaonekana. Kila mwanachama anajua hali ya kikundi. Hakuna siri.

Tayari kuanza safari yenu?

Jisajili leo na uunde kikundi chenu cha kwanza. Bure kabisa.